WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya rufani ya Mkoa wa Dodoma na kupiga marufuku ...
RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo amewaapisha mawaziri na manaibu mawaziri aliowateua, huku akisisitiza kwa mara ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya amepongeza hotuba iliyotolewa na Rais ...
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has expressed profound sorrow over the loss of life of Tanzanians who died during the violent ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amefanya mabadiliko makubwa katika Baraza lake la Mawaziri kwa kuongeza idadi ya wizara kutoka 18 hadi 20, hatua ...
Imeelezwa kwamba uwepo wa miradi ya graphite Mahenge, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro itafungua fursa mbalimbali za kiuchumi kuanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa kutokana na uwekezaji mkubwa ...
Marking the first-ever visit by an Indian President to Angola, Droupadi Murmu opened a new chapter in India-Africa ties. From energy and mineral exploration to diamond processing and digital ...
MFUMO mpya wa mauzo ya mazao ya biashara yakiwemo Kakao, Korosho, Ufuta, na Mbaazi kuuzwa kwa njia ya mnada kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani umewaongezea mapato wakulima wa Halmashauri ya Mlimba , ...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dk. Rogers Shemwelekwa, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kata ya Picha ya Ndege, ambapo amekagua miradi nane yenye jumla ya thamani ya Shilingi ...
Wachezaji wa Klabu ya Simba. KLABU ya Simba imetambia ushindi wake wa asilimia 100 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara mpaka sasa, ikisema ni ishara njema ya kwenda kutwaa taji hilo msimu huu, huku ikisema ...
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) mkoa wa Pwani, Tatu Kondo, amesema watu wenye ulemavu ni miongoni mwa makundi yanayoathirika zaidi pale vurugu ...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu. CHAMA Cha ACT-Wazalendo kimetoa hoja tatu wanazotaka kutekelezwa baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani na mgombea Urais ...